RAIS SAMIA AANZA KAMPENI KWA KISHINDO DAR ES SALAAM
byDarasa Huru-
Mgombea
wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Viwanja vya
Leaders Club, Kinondoni Jijini Dar Es salaam kwaajili ya Mkutano wa
hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 21, 2025.