ANTHONY MAVUNDE AENDELEA KUNADI SERA ZAKE KUELEKEA OKTOBA 29

 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtumba kwa tiketi ya CCM Ndg. Anthony Mavunde akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chamwino Ndg. Deo Ndejembi katika kijiji cha Mwegamile,Kata ya Buigiri.

Ndg. Mavunde pia alitumia fursa hiyo kumuombea kura Mgombea Urais Dkt. Samia S. Hassan na mgombea udiwani wa kata ya Buigiri Ndg. Kenneth Yindi.





 

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form