YANGA YATUPWA NJE LIGI YA MABINGWA AFRIKA

 Na Ally Mandai.

Yanga wamekamilisha idadi ya magoli waliyokuwa wakiyahitaji ili kufuzu Robo fainali, kazi ilikuwa Jijini Cairo kwa Al Ahly kuwafunga FAR Rabat hata goli moja tu.

Licha ya Yanga kushinda mabao 3-0 ila wameshindwa kufuzu hatua ya robo fainali na kuishia makundi kama msimu jana ambapo waliishia hatua hii na alama 8 pekee. 

FT. Yanga Sc 3-0 JS Kabylie

FT. Al Ahly 0-0 FAR Rabat

MSIMAMO KUNDI B
1.Al Ahly - pointi 10 (8-3)
2.FAR Rabat - pointi 9 (3-2)
3.Yanga Sc - pointi 8 (5-4)
4.JS Kabylie - pointi 3 (1-8)




 

Post a Comment

0 Comments