Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan
akiwasili Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume,
Zanzibar na kupokelewa na Viongozi mbalimbali akitokea nchini Ethiopia
baada ya kukamilisha ziara ya kikazi ya siku nne, ambapo pamoja na mambo
mengine alishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa
Afrika (AU) uliofanyika tarehe 14 na 15 Februari, 2026 .
0 Comments