NANI ANAPIGIKA LEO KARIAKOO DERBY?

Na Ally Mandai.

Leo si hadithi ya sare,Leo ni hadithi ya presha.

Usiku wa leo macho yote yanaelekezwa kwenye New Amaan Complex ambako Kariakoo Derby inapigwa tena. Lakini safari hii, upepo unapuliza pande zote mbili huku Libase Gueye huku Depu.

Yanga SC wamekuwa wababe mara sita mfululizo wamewafunga watani wao wa jadi, Simba SC.Kila mechi imeacha kovu,Kila filimbi ya mwisho imeongeza presha.

Siku ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu sana na mshabiki wa klabu mbili,JE NANI ATAPIGIKA LEO?.

 TANGAZA NASI SASA,UWAFIKIE MAMILIONI YA WATEJA:Piga 0654414804. 


 

Post a Comment

0 Comments