UMAFIA TU!!ALLAN OKELLO RASMI NI MWANANCHI

Na Ally Mandai, Facebook.

Klabu ya Yanga imemtangaza Nyota wa Uganda Allan Okello kuwa ni Mwananchi rasmi.

Kiungo huyo mshambuliaji wa Kimataifa wa Uganda toka Vipers anajiunga na Yanga akiwa na sifa ya ubunifu wa hali ya juu na uwezo wa kutoa pasi nzuri na kufunga mabao.

Pia anachezea timu ya Taifa ya Uganda The Cranes,Unaonaje usajili huu??



Post a Comment

0 Comments