RAIS MSTAAFU DKt. JAKAYA KIKWETE AWASILI PEMBA KUSHUHUDIA UZINDUZI WA JENGO LA UHAMIAJI,ZANZIBAR

 ‎‎Rais Mstaafu Awamu ya Nne wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwasili Kisiwani Pemba kwa ajili ya Sherehe ya Uzinduzi wa Jengo la Afisi ya Uhamiaji na Makaazi ya Askari,Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba Zanzibar, ambapo amepokelewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene (Mb), Kamishna Jenerali wa Uhamiaji CGI Dkt. Anna Makakala, Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar CI Hassan Ali Hassan na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mgeni Hassan Yahaya. 

‎Uzinduzi huo ni sehemu ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar,Aidha Uzinduzi huo unafanyika leo, tarehe 4 Januari, 2026.





Post a Comment

0 Comments