SIMBA SC YABEBA KOMBE LAO LA KWANZA,YANGA YATOKA PATUPU

 Mashabiki wa klabu ya Simba SC leo wamejaa na furaha baada ya kubeba kombe dhidi ya watani wao wa Jadi mashabiki wa Yanga SC kwenye Uwanja wa KMC Complex mwenge jijini Dar es Salaam.

Wametwaa ubingwa huu baada ya ushindi wa mabao 2-0,Timu ya mashabiki wa Simba nahodha alikuwa ni meneja habari na mawasiliano wa klabu hiyo Ahmed Ally huku kwa Yanga SC akiwa ni msemaji Ally Kamwe.





Post a Comment

0 Comments