
Kufunga mabao 91 ndani ya mwaka mmoja wa kalenda (2012).

Kushinda Ballon d’Or 8 na Golden Boot 6.

Kushinda Ballon d’Or 4 mfululizo (2009–2012).

Assists nyingi zaidi kwenye historia ya soka 405.

Mabao mengi zaidi kwa klabu moja mabao 672 akiwa Barcelona.

MOTM & MVP nyingi zaidi kwenye historia ya mchezo.

Hat-trick nyingi bila penalti 44.

Mabao mengi zaidi kwenye El Clásico 26.

Mabao mengi zaidi nje ya eneo la hatari (box) 97.

Mchezaji aliyeshinda mataji mengi zaidi kwenye historia ya soka: mataji 46 (klabu + timu ya taifa).
0 Comments