SOPU ATEMWA STARS, SELEMAN MWALIMU ABEBA MIKOBA YAKE

 

Mshambuliaji wa klabu ya Simba SC Tanzania Seleman  Mwalimu ambaye yupo klabuni hapo kwa Mkopo akitokea Wydad Athletic Club - WAC ameitwa kwenye Kikosi cha Timu Ya Taifa Kwa Ajili ya michuano ya AFCON 2025 itakayofanyika Kule Nchini Morocco hivi karibuni.

Seleman Mwalimu ameitwa Kuchukua Nafasi ya Abdul Sopu ambae ni Majeruhi.Nyota huyo atasafiri na Wachezaji wenzake ambapo bado hawajajiunga na kambi ya Taifa Stars Lusajo Mwaikenda na Yusuph Kagoma.

Post a Comment

0 Comments