HARMONIZE AMALIZA BIFU NA MBOSSO APEWA COLLABO

 Msanii Harmonize ametangaza rasmi kuachia ngoma mpya inaitwa #LEO ambayo amemshirikisha msanii Mbosso ambaye walikuwa wote kwenye lebo ya muziki ya Wasafi(WCB).

Ngoma imepangwa kuachiwa siku ya X-MASS tarehe 25 huku Harmonize akisema hawajawahi kufanya kazi ya pamoja wakiwa wawili.






Post a Comment

0 Comments