Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani [FIFA], limemchagua Rais wa Klabu ya @yangasc na Mwenyekiti wa Umoja wa vilabu Afrika [ACA], Eng. Hersi Said kuwa miongoni mwa Wataalam watakaofundisha kwenye Kongamano kubwa la Mpira litakalofanyika Doha, Qatar, siku ya kesho, Desemba 14,2025.Hersi, amepangiwa na FIFA kufundisha kwenye mada ya KEY ELEMENTS FOR CLUB SUCCESSFUL TRANFORMATION [ MFUMO WA MABADILIKO YA KLABU].
Miongoni mwa Wataalam wengine wa mpira Duniani watakaozungumza kwenye Kongamano hili ni Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger, Roberto Di Mateo, Dennis Wise, Alexander Pato, Eric Abidal na wengine kibao
Injinia Hersi Said ndiye mtaalamu pekee wa Mpira kutoka Afrika aliyepata nafasi ya kufundisha Kwenye Kongamano hil
0 Comments