Home
About
Contact
Home
HABARI
MICHEZO
MAGAZETI
MAKALA
__DropDown 3
Home
FALIALA MBUTU (MUME WA LUIZER MBUTU) AFARIKI DUNIA
FALIALA MBUTU (MUME WA LUIZER MBUTU) AFARIKI DUNIA
Darasa Huru
December 25, 2025
Mwanamuziki Faliala Mbutu ambaye ni mume wa mwimbaji wa Twanga Pepeta, Luizer Nyoni, amefariki dunia.Luizer ameithibitishia Saluti5 kuwa mume wake amefariki dunia muda mfupi uliopita.
Msiba wa Faliala uko nyumbani kwao Salasala jijini Dar es Salaam.Kwa mujibu wa Luizer, mumewe aliugua tumbo na kufanyiwa upasuaji mwanzoni mwa wiki hii, lakini leo alasiri akafariki.
Faliala alikuwa mpiga bass na mmiliki wa bendi ya The Buffalo ambayo ilikuwa inapiga zaidi kazi za hotelini.Luizer na Faliala walifunga ndoa mwanzoni mwa miaka ya 2000 na kufanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume, Bryan.
Said Mdoe
25/12/2025.
Post a Comment
0 Comments
Social Plugin
ZILIZOSOMWA ZAIDI
TFF WATOA TAREHE RASMI YA TUZO ZA WACHEZAJI BORA NBC 2024-25
November 14, 2025
HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2025
January 10, 2026
KIKOSI CHA YANGA SC DHIDI YA SINGIDA BLACK STARS HIKI HAPA
January 09, 2026
NECTA YATANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2025
January 10, 2026
RAIS SAMIA AAGIZA VIJANA WALIOFUATA MKUMBO OKTOBA 29 WAACHIWE
November 14, 2025
TUTAZAME YOUTUBE
0 Comments