WAZIRI MKUU MPYA DKT MWIGULU NCHEMBA KUAPISHWA RASMI KESHO

 Waziri Mkuu Mteule Dr Mwigulu Lameck Nchemba anatarajiwa kuapishwa hapo kesho na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na mara baada ya hii leo Bunge la Tanzania kupitisha jina lake na akahutubia Bunge hilo.


 

Post a Comment

0 Comments