DANIEL SILLO SPIKA MPYA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

 Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini, Daniel Baran Sillo amepitishwa kna bunge kuwa Naibu Spika wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 371 kati ya kura zote 371 zilizopigwa.

Uchaguzi wa Naibu Spika wa Bunge umefanyika Leo wakati wa Kikao cha Tatu cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la 13 leo Novemba 13, 2025. 


 

Post a Comment

0 Comments