RAIS DKT. SAMIA ATEUA WABUNGE SITA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyonayo chini ya Ibara ya 66(1)(e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 amefanya uteuzi wa wabunge sita wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Walioteuliwa ni :-
1. Dkt. Dorothy Onesphoro Gwajima
2. Balozi Mahmoud Thabit Kombo
3. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa
4. Bw. Abdullah Ali Mwinyi
5. Balozi Khamis Mussa Omar
6. Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho.


 

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form