Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimetoa Taarifa kuwa Jioni ya leo Novemba 10. 2025 Jeshi la Polisi limewaachia kwa dhamana viongozi wakuu wa Chama waliokuwa wanawashikilia.
viongozi hao ni Mhe. John Heche (Makamu Mwenyekiti Bara) Mhe. Amani Golugwa (Naibu Katibu Mkuu Bara) Mhe. Godbless Lema (Mjumbe wa Kamati Kuu na Mhe. Boniface Jacob (Mwenyekiti Kanda ya Pwani).
Tags
Habari
