Mbunge Mteule wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda akiwasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kujisajili rasmi kabla ya kuanza kwa majukumu ya Bunge la Kumi na Tatu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza kesho Novemba 11, 2025.
Tags
Habari


