Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Ndele Mwaselela ameongoza Wananchi na wanaCCM Katika Kampeni za Mgombea Mwenza wa Kiti Cha Urais Kupitia Tiketi ya CCM Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi Katika Kampeni zake Wilayani Chunya Ndani ya Mkoa Wa Mbeya.
Dkt. Nchimbi Ameendelea na Kampeni Hizo Mkoani Mbeya akianzia Wilaya ya Chunya Ambapo Amewaomba Kura Wanambeya na Amejinasibu Kuwa yeye ni Mwanambeya halisi Kwakuwa alizaliwa Katika Mkoa huu na kulelewa kisiasa Katika Mkoa huu wa Mbeya Aidha Amesema Ilani ya CCM Chini ya Mgombea Urais Dkt.Samia Suluhu Hassan Imekidhi Mahitaji ya WanaChunya na Mbeya Kwa Ujumla Kwa Ndani ya Miaka Mitano Ijayo, hivyo ameomba wakakichague Chama Cha Mapinduzi hapo Tarehe 29/10/2025.

.jpeg)
.jpeg)