Dondoo za Ahadi Mpya na Endelevu za Ndg.Anthony Peter Mavunde-Mgombea Ubunge kupitia CCM LEO OKTOBA MOSI 2025-KATA YA MAKOLE
AHADI MPYA
1:Ujenzi wa soko Jipya la Matunda na Mboga mboga
2: Kurejesha njia ya daladala kutoka mjini kwenda Area D
3: Viwanda Vidogo kila kata vikiwemo vya kusafisha Mafuta ya Alizeti.
4: Kuiboresha stendi ya Mabasi yaendayo Chamwino
5: Kuliboresha soko la Chadulu
6: Kuondoa adha ya mitaro ya maji mtaa wa Chimuli
7: Studio kubwa ya Kurekodi Wasanii wote ndani ya Jimbo kujengwa makole
8: Mitambo ya kudurufu mitihani ya shule zote kata ya Makole
9.Ujenzi wa uzio katika S/M Makole na Chadulu pamoja na S/S Chadulu
10: Kiliniki ya Ardhi
11: Uboreshwaji wa Barabara za mtaa wa National Housing na Makole
12: Uanzishwaji wa Klabu za WAZEE wa Kiume.
13: Kupatiwa Vyeti vya VETA kwa vijana wote wenye ujuzi bila kusoma VETA
14: Kuleta wataalam washauri wa mikopo ya biashara kabla ya kuchukua mikopo ya 10%
15: Kufumua mifumo ya maji taka
16: Mpango wa Bodaboda kumiliki pikipiki zao.



.jpeg)
