YANGA SC YAIFUNGA BANDARI YA KENYA KWENYE KILELE CHA WIKI YA MWANANCHI

 Wananchi wamefurahi kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi baada ya kushuhudia timu yao ikiibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Bandari Fc ya Kenya katika dimba la Benjamin Mkapa.

Wapenzi na mashabiki wa Yanga Sc wamepata fursa ya kuwaona wachezaji wao wapya kwenye mechi hiyo Celestine Ecua na Lassine Kouma waking’ara kipindi cha kwanza huku Mohammed Doumbia ‘AI’ aking’ara kipindi cha pili.


 

Post a Comment

0 Comments