Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus, Dkt. Kombos, anaitembelea Tanzania kuanzia Leo (Julai 8) hadi Alhamisi kwa niaba ya Mwakilishi Mkuu wa Masuala ya Kigeni na Sera ya Usalama wa Umoja wa Ulaya/Pia Makamu wa Rais wa Tume ya Ulaya, Bi. Kaja Kallas.

Our website uses cookies to improve your experience. Learn more