IBWE MSEMAJI WA AZAM FC ACHUKUA FOMU YA UBUNGE MWANGA, KILIMANJARO

Ofisa Habari wa klabu ya Azam FC,Hasheem Ibwe amechukua fomu Rasmi CCM Kuutaka Ubunge Jimbo la Mwanga - Kilimanjaro hiiimekuja baada kuonyesha nia kama kijana ya kutaka kuleta mabadiliko ya kimaendeleo kwenye jimbo hilo.



Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form