Kwa
mara ya kwanza katika historia ya mpira wa Tanzania inaenda kushuhudia
mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania NBC kwenda kuamuliwa na Waamuzi kutoka
nje ya Tanzania.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF na
bodi ya ligi wametangaza Waamuzi wa mchezo huo namba 184 wa Derby kati
ya Yanga SC dhidi ya Simba SC utakaofanyika Juni 25, 2025 Kwenye dimba
la Benjamin Mkapa.
Tags
Michezo