DKT NCHIMBI AKUTANA NA MWENYEKITI MSTAAFU WA JUKWAA LA WAHARIRI

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt John Emmanuel Nchimbi akizungumza jambo na Mwandishi mkongwe, Mwenyekiti Mstaafu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),Ndugu Absalom Kibanda akiwa ofisini kwake,  Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, leo Ijumaa , tarehe 27,Juni 2025.






Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form