MAHAKAMA YASEMA LISSU ANA KESI YA KUJIBU, SASA ATAJA MAJINA MAKUBWA 11 KUMTETEA

 Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amekutwa na kesi ya kujibu katika kesi ya uhaini inayomkabili inayoendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Dar es Salaam hivyo sasa anataja mashahidi wake 11 wa kumtetea akiwemo Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Mstaafu Dkt Philip Mpango na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa na IGP Wambura.

Baada ya kusikiliza pande zote mbili mahakama imeona kwamba baada ya kupitia ushahidi na maneno yaliyoko kwenye hati ya mashtaka na ushahidi.


Mahakama imeeleza ushahidi uliotolewa una mzungumza mshitakiwa na kwa mujibu wa sheria mahakama imeona kuna kesi imejengwa na mahakama inaona kwamba mshitakiwa ana kesi ya kujibu ili aweze kujitetea dhidi ya tuhuma hizo.

Post a Comment

0 Comments