Kesi ya
uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, inaendelea leo
Jumatatu katika Mahakama Kuu ya Tanzania, baada ya kuahirishwa Ijumaa
wakati Lissu akiendelea kutoa ushahidi wake wa kujitetea.
TANGAZA BIASHARA YAKO UFIKIE MAELFU YA WATEJA KWA ELFU 5 TU.PIGA SASA 0654414804.
Ijumaa
ilikuwa siku muhimu katika kesi hiyo baada ya Mahakama Kuu kumkuta Lissu
ana kesi ya kujibu, hatua iliyofungua rasmi hatua ya utetezi.
Lissu
aliamua kujitetea mwenyewe na alianza kwa kueleza historia yake ya
kisiasa, uzoefu wake kama mwanasheria na mshiriki katika masuala ya
uchaguzi Tanzania.
0 Comments