Kufuatia Ziara aliyoifanya Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Ndugu Ndele Mwaselela siku ya tarehe 20/04/2026 alipotembelea Shule ya Sekondari ya Wavulana Mwaselela, Iliyopo Kata ya Iwindi katika Halmashauri ya Mbeya DC.
Moja ya Changamoto iliyoibuliwa na Wananchi wanaishi katika Kijiji hicho ilikuwa ni Kilio cha Daraja la Isangara ambalo lilikuwa ni hatarishi kwa maisha ya Wananchi wa Kijiji hicho, na kufuatia hilo Moja ya Wananchi aliibua Changamoto hiyo, na Kisha MNEC Ndele Mwaselela aliweza kuahidi kuwezesha kukarabati Daraja Hilo.
na mapema Leo tahere 21/05/2026 Tayari Ukarabati huo Umeanza rasmi.

.jpeg)

0 Comments