Manchester
City wameendelea kuipa presha Arsenal kwenye mbio za ubingwa wa ligi
kuu England baada ya kuwalaza Washika Mitutu kwa mabao 2-1 katika dimba
la Etihad, Manchester.
Man City imefikisha alama 67 baada ya
mechi 32 ikiwa nafasi ya pili alama tatu nyuma ya Washika Mitutu huku
Man City ikiwa na mchezo mmoja mkononi.
FT: Man City 2-1 Arsenal ⚽ 16’ Rayan Cherki ⚽ 64’ Haaland ⚽ 18’ Kai Havertz
MSIMAMO EPL 🔝 6️⃣ 1. Arsenal — 70 (mechi 33) 2. Man City — 67 (mechi 32) 3. Man Utd — 58 (mechi 33) 4. Aston Villa — 58 (mechi 33) 5. Liverpool — 55 (mechi 33) 6. Chelsea — 48 (mechi 33)
0 Comments