YANGA RASMI WAIPA JINA DABI "DAMARO DAY"

 Na Ally Mandai.

Kuelekea mchezo wa ligi kuu ya NBC ikiwa ni DABI ya Kariakoo mwenyeji akiwa ni aYanga SC tayari wametangaza jina maalum kama ilivyo kawaida yao wakilipa jina la DAMARO DAY huku ikiwa na kauli mbiu ya "Kizalendo Zaidi".

Hii ni kuonyesha kuwa mchezaji huyu ni halali kuitumikia klabu hii ya Twiga na Jangwani na sivyo kama wengi wanavyohoji hasa kuhusu suala la uraia wake.

Ikumbukwe DAMARO ni moja ya wachezaji wa kigeni ambao wamepewa uraia wa Tanzania pamoja na wenzake Arthur Baada na Keyekeh.

TANGAZA NASI SASA,UWAFIKIE MAMILIONI YA WATEJA:Piga 0654414804.



Post a Comment

0 Comments