Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo amefanya kikao na Gavana wa Jimbo la Maniema, kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mhe. Moise Mussa Kabwankubi kujadili maeneo ya ushirikiano katika sekta ya kilimo baina ya Tanzania na DRC.
Viongozi hao wamejadili uwezekano wa kupanua ushirikiano katika eneo la kilimo ili kuongeza uingizwaji wa bidhaa za kilimo kutoka Tanzania kwenda Maniema nchini DRC.






0 Comments