SIMBA HII HAISHIKIKI YAICHAPA PRISONS,YATUMA SALAMU ZA DABI

 Na Ally Mandai

Klabu ya Simba SC imepata ushindi leo dhidi ya Tanzania Prisons kwenye uwanja wa ugenini CCM Jamhuri,Dodoma kwa jumla ya mabao 2-0 yakifungwa na Mshambuliaji Mwalimu na mlinzi wa kati Rushine na kupata alama 3 muhimu zilizowafanya kupanda hadi nafasi ya 4 kwenye msimamo nyuma ya Pamba Jiji.

Simba SC itacheza mchezo mwingine dhidi ya Dodoma Jiji FC siku ya tarehe 25 Jumatano ya wiki ijayo kwenye uwanja huu pia wa CCM Jamhuri,Dodoma.





Post a Comment

0 Comments