Na Ally Mandai
Bao pekee la Laurindo Dilson Maria 'Depu' limeisaidia Young Africans Sc kuchukua pointi zote tatu ugenini dhidi ya Wauaji wa Kusini, Namungo FC katika dimba la Majaliwa, Ruangwa Lindi.
Namungo FC 0-1 Yanga SC
⚽ 26' Depu

0 Comments