JE, NI FEDHA AU SABABU NYINGINE? BRITNEY SPEARS AUZA HAKI ZAKE ZOTE ZA MUZIKI

Na Ally Mandai. 

Princess of Pop Britney Spears ameuza katalogi yake yote ya muziki iliyodumu kwa zaidi ya miaka 27 kwa Dolla Milioni 200 sawa na Tsh Bilioni 516.

Britney Spears ameuza haki zake hizo za muziki kwenda kwa mchapishaji wa muziki Primary Wave Disemba 30,2025 kulingana na sheria Primary Wave watakuwa na umiliki wa sehemu kubwa ya nyimbo za Britney.

Kwa mujibu wa meneja wake Cade Hudson anasema Britney amefurahishwa na amesherehekea uamuzi huo wa kuuza haki zake za kimuziki kutokana na thamani yake.


 

Post a Comment

0 Comments