Na Ally Mandai,Facebook.
Rais wa klabu ya Yanga SC,Hersi Said ameweka wazi kuwa leo Jumatatu majira ya saa 5 kamili usiku wanashusha mchezaji mpya kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi chao msimu huu huku akiandika kuwa ni zawadi kwa ajili ya Siku ya madhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Kwenye Dirisha hili dogo la usajili Klabu hii imeshafanya maingizo ya nyota kadhaa kama vile Emanuel Mwanengo,Camara na Tshakei huku wengine wakitolewa kwa mkopo.



0 Comments