Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (kushoto) akifurahia jambo na Mama Anna Mkapa (kulia), mke wa Hayati Benjamin William Mkapa wakati alipomtembelea nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam kumjulia hali ikiwa ni utekelezaji wa majukumu yake tarehe 06 Januari, 2026.



0 Comments