Simba wanatafuta winga wa kimataifa wa daraja la juu atakayekuja kuingia Kikosini moja kwa moja na kuongeza nguvu michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Wekundu hao wa
Msimbazi wanatafuta Winga ambaye hajacheza michuano ya CAF msimu huu ambapo mezani kuna majina matatu likiwemo la winga wao zamani Luis Jose Miquissone.Simba wanaamini kwa sasa Luis amerejea kwenye form nzuri kuliko baadhi ya mawinga waliopo kikosini kwa sasa.

Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Simba zinaeleza Kamati ya Usajili kushirikiana na benchi la Ufundi wanaona hakuna cha zaidi ambacho Joshua Mutale atakitoa kikosini hivyo wameanza kufikiria kumtoa kwa mkopo dirisha dogo.
Aidha Mohammed Bajaber naye anatazamwa kwa karibu sana maendeleo yake baada ya kutoka kwenye majeraha ya muda mrefu.Simba watasajili beki wa kushoto wa Kimataifa mmoja, Winga mmoja na Kiungo wa kati mmoja wakati wa dirisha dogo mwezi Januar
0 Comments