SIMBA SC YAPATA PIGO KUBWA CAMARA HADI MWAKANI,YAELEZA SABABU KUU

 Golikipa wa klabu ya Simbasctanzania Moussa Camara   ataondoka kesho nchini kuelekea Morocco kwa ajili ya matibabu na atafanyiwa upasuaji siku ya jumatatu Nov 17,2025 na anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki nane mpaka kumi.

Golikipa huyo alipata majeraha kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa hatua za awali dhidi ya Gaborone uliochezwa uwanja wa Mkapa.






 

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form