STARS YAFIKISHA MECHI SITA BILA USHINDI,YAPOTEZA TENA DHIDI YA IRAN

 Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imekubali kichapo cha 2-0 dhidi ya Iran kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliopigwa katika uwanja wa Rashid, Dubai.

Stars imepoteza mechi zake tatu mfululizo kwenye michuano yote huku ikishindwa kupata ushindi kwenye mechi 6 mfululizo vipigo vinne, sare mbili.

FT: Iran 🇮🇷 2-0 🇹🇿 Tanzania
⚽ 17’ Hosseinzadeh (P)
⚽ 26’ Mohebi

MATOKEO MENGINE: MECHI ZA KIRAFIKI
FT: Japan 🇯🇵 3-2 🇧🇷 Brazil
FT: South Korea 🇰🇷2-0 🇵🇾 Paraguay
FT: Kuwait 🇰🇼 0-1 🇲🇦 Morocco B.




 

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form