Wananchi
wa Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro wamemuidhinisha Naibu Waziri wa
Afya na Mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Godwin Mollel, kuendelea kugombea
nafasi hiyo kwa awamu nyingine.
Tukio hilo limetokea wakati wa
hafla ya kimila iliyowakutanisha wanajamii wa Kimaasai wilayani Siha,
ambapo Dkt. Mollel aliuliza kwa heshima kama anaweza kuendelea kugombea
ubunge wa jimbo hilo, na kupokea ridhaa ya wazi kutoka kwa wananchi
waliohudhuria.

0 Comments