HARMONIZE AFIKA KIZIMKAZI KUMFARIJI RAIS SAMIA BAADA YA MSIBA

 Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’, amemfariji Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kufuatia msiba wa mumewe, Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan.

TANGAZA BIASHARA YAKO KWA 5000 TU UWAFIKIE MAELFU YA WATEJA PIGA 0654414804.

Harmonize alifika nyumbani kwa Rais Samia huko Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, Septemba 11, 2026, na kutoa pole kufuatia kifo cha Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan.

Maalim Hafidh Ameir Hassan alifariki dunia Septemba 7,

Post a Comment

0 Comments