WATOTO WATATU WAFUNIKWA NA UDONGO,WAWILI WAFARIKI DUNIA

Watoto wawili wa kiume wa familia moja wamefariki dunia papo hapo, huku mtoto mwingine wa kike akinusurika baada ya kuangukiwa na gema la udongo wakati wakichimba mchanga pembezoni mwa Mto Bariadi, uliopo Mtaa wa Mji wa Zamani, Wilaya ya Bariadi, Mkoa wa Simiyu.

ELFU 5 TU TANGAZA BIASHARA YAKO UFIKIE MAELFU YA WATEJA PIGA SASA 0654414804.

Tukio hilo limetokea wakati watoto hao walipokuwa wakichimba mchanga katika eneo hilo, ambapo gema la udongo lilianguka na kuwafunika.


Watoto hao wawili walifariki dunia papo hapo, huku mtoto wa kike akinusurika na kupelekwa hospitali kupata matibabu.

Post a Comment

0 Comments