Amani na furaha ya ndoa au familia ni vitu vyenye thamani kubwa sana, lakini pindi tabia za ulevi kupindukia zinapoingia nyumbani, kila kitu huanza kusambaratika.
Kwa miaka kadhaa, maisha ya familia yangu yaliingia kwenye mateso makubwa baada ya mume wangu kutumbukia kwenye ulevi wa kupindukia na michezo ya kamari.
Mume wangu, ambaye zamani alikuwa mtu wa familia, mwenye upendo na anayejituma, alibadilika kabisa na kuwa mtu wa kurudi usiku wa manane akiwa amelewa chakari, mwenye ghadhabu, na asiyetaka kuhojiwa kitu.
Pesa zote alizokuwa akizipata kupitia kazi na biashara zetu zilianza kuishia kwenye kumbi za pombe na kubeti. Mshahara wake uliporudi, badala ya kuleta chakula au kulipa ada za watoto, alitumia kila shilingi kufurahisha marafiki wa pombe.
Watoto wetu walianza kufukuzwa shule kwa ukosefu wa ada, na madeni yalianza kutuandama kila kona. Kila nilipojaribu kuzungumza naye kwa wema au kumsihi aache pombe ili tuokoe familia yetu, zogo kubwa lilizuka nyumbani, akinitukana na kunitishia kunifukuza.
Nilibaki nikilia kila usiku, nikishuhudia maisha na akiba zetu zikitoweka huku watoto wakiteseka kwa njaa,SOMA ZAIDI.

0 Comments