RODRI RASMI ATUA BARCELONA


 Kiungo wa Hispania Rodrigo Hernández maarufu kama "Rodri" amepokelewa kwa ujumbe wa kumkaribisha FC Barcelona, huku maneno ya “Benvingut al Barça, Rodri!” yakitumika kumaanisha “Karibu Barça, Rodri” baada yamefanyika kusaini mkataba hadi Juni 30, 2030.
 

Mapokezi hayo yamefanyika leo huku yakiibua shangwe miongoni mwa Mashabiki wa Barcelona katika mitandao ya kijamii, huku jina la kiungo huyo likiendelea kuhusishwa na miamba hiyo ya Hispania.

Rodri amekuwa miongoni mwa viungo wanaotajwa sana katika soka la Ulaya kutokana na uwezo wake wa kuongoza eneo la kiungo na mchango wake katika upande wa ulinzi na uanzishaji wa mashambulizi.

Rodri alikuwa Manchester City kwa misimu saba, na miongoni mwa mafanikio yake makubwa ni kushinda UEFA Champions League 2023 pamoja na mataji manne ya Premier League.

Post a Comment

0 Comments