Kipande cha ardhi au kiwanja cha mirathi ni kumbu kumbu na urithi muhimu unaoacha msingi wa maisha na maendeleo kwa familia.
Hata hivyo, kwangu mimi, kiwanja nilichoachiwa na wazazi wangu kiligeuka kuwa chanzo cha vita kali, vitisho, na msongo mkubwa wa mawazo.
Ndugu wa karibu pamoja na watu wenye pesa na ushawishi mtaani walianza kuweka mipango ya kunitapeli na kunipora kiwanja hicho, wakidai kuwa sina nyaraka halali na kwamba sina uwezo wa kupambana nao.
Nilibaki nikihangaika kwenye mabaraza ya ardhi na serikali za mitaa bila kupata msaada wowote. Kila nilipojaribu kusimamia haki yangu, rushwa na maneno ya uongo vilipindisha ukweli na kunifanya nionekane mimi ndiye mvunjaji wa sheria.
Vita hiyo ilianza kuvuka mipaka ya kawaida na kuingia kwenye vitisho vya ushirikina na kunipigia simu za usiku kucha wakiniahidi kunipoteza au kunifanya nilete ukichaa kama sitajiondoa kwenye kiwanja hicho.
Nilibaki na hofu kubwa ya kupoteza urithi wa familia yangu na kuacha watoto wangu wakiwa hawana mahali pa kushika.SOMA ZAIDI.

0 Comments