NILIHOFIA MOTO NA MAJANGA YALIYOKUWA YAKIANDAMA NYUMBA ZA MAJIRANI, MPAKA KINGA YA ASILI ILIPOWEKA ULINZI

 Kujenga au kupata nyumba ya familia ni moja ya hatua kubwa zaidi maishani, lakini kuilinda dhidi ya majanga na hofu ya kupoteza kila kitu ni mtihani mwingine mzito.

Kwa miaka kadhaa, mtaa na eneo tulilokuwa tukiishi lilianza kukumbwa na matukio ya ajabu na ya kutisha ya majanga ya moto yaliyotokea ghafla, ajali za mara kwa mara, na upepo wa ajabu uliokuwa ukiezua mabaraza na kuezua nyumba za majirani zetu moja baada ya nyingine.

Kila mara janga lilipotokea mtaani, nilijikuta nikipatwa na hofu kubwa na msongo wa mawazo. Nilitazama familia yangu na mali tulizozitolea jasho kwa miaka mingi.

Nikihofia kuwa usiku wowote au siku yoyote, nyumba yetu nayo ingeweza kukumbwa na majanga hayo ya giza na kutuacha mtaani bila chochote. Hofu hiyo ilitunyima amani na usingizi.

Kila sauti ya ajabu au upepo ulipovuma usiku, nilikuwa nikiamka kwa mshtuko mkubwa nikihisi nyumba yetu ipo hatarini kuungua au kupata maafa,SOMA ZAIDI.

Post a Comment

0 Comments