MWAMBA HUYU HAPA! SELE MWALIMU ATUA ZANZIBAR

Mshambuliaji wa Yanga Selemani Mwalimu ‘Gomes’ amewasili Zanzibar kujiunga na kikosi cha Yanga.Mwalimu amewasili Unguja leo mchana, akiwa amevalia mavazi rasmi ya Yanga, akipokelewa na Makamu wa Rais wa klabu hiyo, Arafat Haji.

GUSA HAPA,UMEKOSA MTOTO KWA MUDA MREFU NA REJESHA HESHIMA CHUMBANI AU PIGA SIMU 0690013881  

Mshambuliaji huyo aliwasili pamoja na Meneja wa Habari wa Yanga, Ally Kamwe, ambaye alikuwa naye Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo baada ya Mwalimu kusaini mkataba wa kuichezea Yanga.


 

 

Post a Comment

0 Comments