Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili na kutembelea mabanda mbalimbali ya maonesho ya Kimataifa ya Nane Nane kwa mwaka 2026 yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya John Malecela Jijini Dodoma.
Makamu wa Rais ni mgeni rasmi katika Siku Maalum ya Ushirika na Maadhimisho ya Miaka 10 ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) inayofanyika leo tarehe 03 Agosti 2026 katika Maonesho ya Nane Nane Dodoma.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili na kutembelea mabanda mbalimbali ya maonesho ya Kimataifa ya Nane Nane kwa mwaka 2026 yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya John Malecela Jijini Dodoma. Makamu wa Rais ni mgeni rasmi katika Siku Maalum ya Ushirika na Maadhimisho ya Miaka 10 ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) inayofanyika leo tarehe 03 Agosti 2026 katika Maonesho ya Nane Nane Dodoma.

.jpeg)

0 Comments