YANGA YAPIGWA FAINI MILIONI 30 KISA NYUMBA YA JIRANI

 Na Ally Mandai.

Young Africans imetozwa faini ya Sh. 30,000,000 (milioni thelathini) kwa kosa la wachezaji na maofisa wake wa ufundi kukataa kutumia chumba rasmi cha kuvalia kwenye uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam badala yake walitumia nyumba iliyo nje ya uwanja upande wa pili wa Barabara kinyume na matakwa ya kanuni ya 17:20 ya Ligi Kuu kuhusu Taratibu za Mchezo.

SOMA,SABABU YA SIMBA KUPEWA TUZO YA KLABU BORA TANZANIA

Adhabu hii ni kwa mujibu wa Kanuni ya 27:7 ya Ligi Kuu kuhusu Vyombo vya Maamuzi.





Post a Comment

0 Comments