TANZANIA YAJIPANGA KUWA MZALISHAJI MKUBWA WA MADINI KINYWE(GRAPHITE)DUNIANI

Ruangwa, Lindi

Waziri wa Madini, Mh. Anthony Mavunde (Mb) amesema kwamba Tanzania inajiapanga kuwa mmoja ya wazalishaji wakubwa Duniani wa madini kinywe(𝙂𝙧𝙖𝙥𝙝𝙞𝙩𝙚) kupitia Kampuni 30 zinazomiliki Leseni za kati na kubwa za uchimbaji wa madini hayo na hivyo kutoa ushindani wa kiuzalishaji kwa nchi ya China ambayo ndio inaongoza kwa uzalishaji wa madini hayo duniani kwa kuzalisha tani milioni 1.2 kwa mwaka. 

Mh. Mavunde ameyasema hayo leo tarehe 28 Mei, 2026 Wilayani Ruangwa, Lindi aliposhiriki katika hafla ya utiaji saini wa mikataba wa ubia baina ya Serikali na Kampuni ya Lindi Jumbo.


 

Post a Comment

0 Comments